SOMO LA 106
SOMO LA 106: MATUMIZI YA "that's why"
SEHEMU A:
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
That's = that is
didn't = did not
It's = it is
Won't = will not
⚫⚫⚫⚫⚫⚫⚫⚫⚫⚫
Examples
(mifano):
1. You are God, that's why I praise and worship you all the time
👉 Wewe ni Mungu ndiyo sababu ninakusifu na kukwabudu wewe wakati wote
2. I was very busy yesterday that's why I didn't come
👉 Nilikuwa nimetingwa sana jana ndiyo sababu sikuja
3. In my life I have tried almost everything that's why I know a lot of things
👉 Katika maisha yangu nimejaribu karibu kila kitu ndiyo sababu ninajua vitu vingi sana
4. Life is not a rehearsal it's a performance that's why you have to do everything seriously
👉 Maisha si mazoezi maisha ni utendaji ndiyo sababu unatakiwa kufanya kila kitu kwa kumaanisha
5. I believe that what I am doing is right that's why I don't care about people's insults at all
👉 Ninaamini kwamba ambacho niko ninakifanya ni sahihi ndiyo sababu sijali kuhusu matusi ya watu hata kidogo
➖➖➖➖➖➖➖➖➖
🌐 Facebook/Instagram/YouTube @ Azari Eliakim
Comments