SOMO LA 23
SOMO LA 23: KUTOA AMRI
👮 (commanding)
âž–âž–âž–âž–âž–âž–âž–
👉come here
Njoo hapa
👉go there
nenda pale/kule
👉go out
Nenda nje
👉stop talking
Acha kuzungumza
👉stand up
Simama juu
👉sit down
Keti chini
👉don't do anything
Usifanye lolote
👉tell me everything
Niambie kila kitu
👉clean all rooms
Safisha vyumba vyote
👉harry up
Harakisha
👉wake up
Amka
👉follow me
Nifuate
👉help me
Nisaidie
👉read this letter
Soma barua hii
👉give me money
Nipe pesa
👉stay at home
Baki nyumbani
👉love me
Nipende
👉leave me alone
Achana na mimi
👉cook early
Pika mapema
👉study hard
Soma kwa bidii
âž–âž–âž–âž–âž–âž–âž–
👥Facebook /Instagram /YouTube @Azari Eliakim
Comments