SOMO LA 49
SOMO LA 49: FUTURE PERFECT TENSE
Formula: pronoun + will/shall + have + verb (past participle)
➖➖➖➖➖➖➖➖
⚫I will have taken another step in life
⚪Nitakuwa nimechukua hatua nyingine katika maisha
⚫You will have calculated the profit and loss
⚪Utakuwa umekokotoa faida na hasara
⚫He will have increased the size of the room
⚪Atakuwa ameongeza ukubwa wa chumba
⚫She will have purchased a new blouse
⚪Atakuwa amenunua blauzi mpya
⚫It will have grown fully
⚪Atakuwa/utakuwa umekua kimamilifu
⚫We will have encouraged the broken hearted
⚪Tutakuwa tumewatia moyo waliovunjika moyo
⚫They will have discouraged the orphans
⚪Watakuwa wamewavunja moyo yatima
➖➖➖➖➖➖➖
👥 Facebook/Instagram/YouTube @Azari Eliakim
Comments