SOMO LA 45
SOMO LA 45: TENSES "nyakati"
🕛PRESENT PERFECT CONTINUOUS TENSE
âž–âž–âž–âž–âž–âž–âž–âž–
🕛PRESENT PERFECT CONTINUOUS TENSE
âš«Wakati uliopo hali timilifu na inayoendelea
â–«formula (kanuni)
â–¶Pronoun + have/has + been + Verb + ing
.................................
👉I have been writing for ten minutes (write)
_Nimekuwa nikiandika kwa dakika Kumi_
👉You have been crying since afternoon (cry)
_Umekuwa ukilia/mmekuwa mkilia tangu mchana_
👉He has been leading since 1990 (lead)
_Amekuwa akiongoza tangu 1990_
👉She has been encouraging me for many years (encourage)
_Amekuwa akinitia moyo kwa miaka mingi_
👉It has been killing goats for a long time (kill)
_Amekuwa akiua mbuzi kwa muda mrefu_
👉We have been sending gifts to winners (send)
_Tumekuwa tukituma zawadi kwa washindi_
👉They have been feeling so for about three days (feeling)
_Wamekuwa wakijihisi hivyo kwa takribani siku tatu_
âž–âž–âž–âž–âž–âž–âž–
👥Facebook /Instagram /YouTube @Azari Eliakim
Comments