SOMO LA 37
SOMO LA 37: NUMBERS
⏳SEHEMU YA PILI
➖➖➖➖➖➖➖
100 ➡ one hundred
◾mia moja
200 ➡ two hundred
◾mia mbili
300 ➡ three hundred
◾mia tatu
400 ➡ four hundred
◾mia nne
500 ➡ five hundred
◾mia tano
600 ➡ six hundred
◾mia sita
700 ➡ seven hundred
◾mia saba
800 ➡ eight hundred
◾mia nane
900 ➡ nine hundred
◾mia tisa
🔹🔹🔹🔹🔹🔹🔹🔹
1000 ➡ one thousand
✴ elfu moja
2000 ➡ two thousand
✴elfu mbili
3000 ➡ three thousand
✴elfu tatu
4000 ➡ four thousand
✴ elfu nne
5000 ➡ five thousand
✴ elfu tano
6000 ➡ six thousand
✴ elfu sita
7000 ➡ seven thousand
✴ elfu saba
8000 ➡ eight thousand
✴elfu nane
9000 ➡ nine thousand
✴elfu tisa
🔹🔹🔹🔹🔹🔹🔹🔹
10,000 ➡ ten thousand
= elfu Kumi
20,000 ➡ twenty thousand
= elfu ishirini
30,000 ➡ thirty thousand
= elfu Thelathini
40,000 ➡ forty thousand
= elfu arobaini
50,000 ➡ fifty thousand
= elfu Hamsini
60,000 ➡ sixty thousand
= elfu sitini
70,000 ➡ seventy thousand
= elfu sabini
80,000 ➡ eighty thousand
= elfu themanini
90,000 ➡ ninety thousand
= elfu tisini
🔹🔹🔹🔹🔹🔹🔹
➖➖➖➖➖➖➖➖➖
👥Facebook /Instagram /YouTube @Azari Eliakim
Comments