SOMO LA 46


SOMO LA 46: TENSES "nyakati"
🕛PRESENT CONTINUOUS TENSE
âž–âž–âž–âž–âž–âž–âž–âž–
🕛PRESENT CONTINUOUS TENSE
âš«Wakati uliopo hali inayoendelea
â–«formula (kanuni)
â–¶Pronoun + Verb (be) + verb + ing
â–¶Matumizi ya "going to"
.................................
👉I am going to do it
âš« _Ninakwenda kulifanya_
⚪nitalifanya

👉You are going to speak on my behalf
âš« _Unakwenda kuzungumza kwa niaba yangu_
⚪Utazungumza kwa niaba yangu

👉He is going to do something different
âš« _Anakwenda kufanya kitu cha tofauti_
⚪Atafanya kitu cha tofauti

👉She is going to get a job
âš« _Anakwenda kupata ajira/kazi_
⚪Atapata ajira/kazi

👉It is going to be a live event
âš« _Linakwenda kuwa tukio la moja kwa moja_
⚪Litakuwa tukio la moja kwa moja

👉We are going to leave early
âš« _Tunakwenda kuondoka mapema_
⚪Tutaondoka mapema

👉They are going to loose the chains
âš« _Wanakwenda kulegeza minyororo_
⚪Watalegeza minyororo
âž–âž–âž–âž–âž–âž–âž–
👥Facebook /Instagram /YouTube @Azari Eliakim

Comments

Popular posts from this blog

SOMO LA 110

SOMO LA 1

SOMO LA 2