SOMO LA 40


SOMO LA 40: PARTS OF THE BODY
âž–âž–âž–âž–âž–âž–âž–
👴kichwa = head
👂Sikio = ear
👃Pua = nose
💋Mdomo = lip >>lips
👄kinywa = mouth
👀Jicho = eye
😱Shavu = cheek
👅Ulimi = tongue
🎅Kidevu = chin
👉Shingo = neck
👉Kifua = chest
👉Tumbo = stomach
👉Paja = thigh
👉Goti = knee
👉Kiwiko = elbow
👉Kiganja = palm
👉Mgongo = back
👉Nyonga = hip >>hips
👉Kiuno = waist >>loin
👉Kidole cha mkono = finger
👉Kidole cha mguu = toe
👠 Kisigino = heel
👉Kifundo cha mguu/tindi ya mguu = ankle
👉Wayo = sole >>footprint
👉Kisogo = nape
💅ukucha >> kucha
     = nail >>nails
âž–âž–âž–âž–âž–âž–âž–
👥Facebook /Instagram /YouTube @Azari Eliakim

Comments

Popular posts from this blog

SOMO LA 110

SOMO LA 1

SOMO LA 2