SOMO LA 36


SOMO LA 36: NUMBERS
⏳SEHEMU YA KWANZA
➖➖➖➖➖➖➖➖
1 ➡ one = moja
2 ➡ two = mbili
3 ➡ three = tatu
4 ➡ four = nne
5 ➡ five = tano
6 ➡ six = sita
7 ➡ seven = saba
8 ➡ eight = nane
9 ➡ nine = tisa
🔸🔸🔸🔸🔸🔸🔸

11 ➡ eleven = Kumi na moja
12 ➡ twelve = Kumi na mbili
13 ➡ thirteen = Kumi na tatu
14 ➡ fourteen = Kumi na nne
15 ➡ fifteen = Kumi na tano
16 ➡ sixteen = Kumi na sita
17 ➡ seventeen = Kumi na saba
18 ➡ eighteen = Kumi na nane
19 ➡ nineteen = Kumi na tisa
🔸🔸🔸🔸🔸🔸🔸

10 ➡ ten = Kumi
20 ➡ twenty = ishirini
30 ➡ thirty = Thelathini
40 ➡ forty = arobaini
50 ➡ fifty = Hamsini
60 ➡ sixty = sitini
70 ➡ seventy = sabini
80 ➡ eighty = themanini
90 ➡ ninety = tisini
🔹🔹🔹🔹🔹🔹🔹🔹

21 ➡ twenty one = ishirini na moja
22 ➡ twenty two = ishirini na mbili
23 ➡ twenty three = ishirini na tatu
24 ➡ twenty four = ishirini na nne
25 ➡ twenty five = ishirini na tano
26 ➡ twenty six = ishirini na sita
27 ➡ twenty seven = ishirini na saba
28 ➡ twenty eight = ishirini na nane
29 ➡ twenty nine = ishirini na tisa
➖➖➖➖➖➖➖➖➖
👥Facebook /Instagram /YouTube @Azari Eliakim

Comments

Popular posts from this blog

SOMO LA 110

SOMO LA 1

SOMO LA 2