SOMO LA 48
SOMO LA 48: FUTURE CONTINUOUS TENSE
Formula: pronoun + will/shall + be + verb + ing
➖➖➖➖➖➖➖➖
⚫I will be working in the garden (work)
⚪Nitakuwa nikifanya kazi bustanini
⚫You will be making a lot of money
⚪Utakuwa ukitengeneza/ukipata pesa nyingi sana
⚫He will be cultivating his farm
⚪Atakuwa akilima shamba lake
⚫She will be waiting for a dowry
⚪Atakuwa akingoja mahari (posa)
⚫It will be meandering in the zoo
⚪Atakuwa akizurura kwenye hifadhi
⚫We will be congratulating the winners
⚪Tutakuwa tukiwapongeza washindi
⚫They will be eating traditional food
⚪Watakuwa wakila chakula cha kitamaduni
➖➖➖➖➖➖➖➖
👥 Facebook/Instagram/YouTube @Azari Eliakim
Comments