SOMO LA 30
SOMO LA 30: TENSES "nyakati"
⏳SEHEMU YA 2
➖➖➖➖➖➖➖
⏰WAKATI ULIOPO
(PRESENT TENSE)
▫▫▫▫▫▫▫▫
➡Present simple tense
⚫Wakati uliopo Hali ya kawaida
➡Present continuous tense
⚫ Wakati uliopo Hali inayoendelea
➡Present perfect tense
⚫ Wakati uliopo Hali timilifu
➡Present perfect continuous tense
⚫ Wakati uliopo Hali timilifu na inayoendelea
🔹🔹🔹🔹🔹🔹
🕜WAKATI ULIOPITA
(PAST TENSE)
▫▫▫▫▫▫▫
➡Past simple tense
⚫Wakati uliopita Hali ya kawaida
➡Past continuous tense
⚫ Wakati uliopita Hali inayoendelea
➡Past perfect tense
⚫ Wakati uliopita Hali timilifu
➡Past perfect continuous tense
⚫ Wakati uliopita Hali timilifu na inayoendelea
⚫⚫⚫⚫⚫⚫⚫
⌚WAKATI UJAO
(FUTURE TENSE)
➡Future simple tense
⚫Wakati ujao Hali ya kawaida
➡ Future continuous tense
⚫ Wakati ujao Hali inayoendelea
➡ Future perfect tense
⚫ Wakati ujao Hali timilifu
➡ Future perfect continuous tense
⚫ Wakati ujao Hali timilifu na inayoendelea
➖➖➖➖➖➖➖
👥Facebook /Instagram /YouTube @Azari Eliakim
Comments