SOMO LA 38
SOMO LA 38: NUMBERS
⏳SEHEMU YA 3
🔖🔖🔖🔖🔖🔖
100,000 ➡ one hundred thousand
= laki moja
200,000 ➡ two hundred thousand
= laki mbili
300,000 ➡ three hundred thousand
= laki tatu
400,000 ➡ four hundred thousand
= laki nne
500,000 ➡ five hundred thousand
= laki tano
600,000 ➡ six hundred thousand
= laki sita
700,000 ➡ seven hundred thousand
= laki saba
800,000 ➡ eight hundred thousand
= laki nane
900,000 ➡ nine hundred thousand
= laki tisa
🔹🔹🔹🔹🔹🔹🔹🔹
1,000,000 ➡ one million
= milioni moja
9,000,000 ➡ nine million
= milioni tisa
🔹🔹🔹🔹🔹🔹🔹🔹
10,000,000 ➡ ten million
= milioni Kumi
90,000,000 ➡ ninety million
= milioni tisini
🔹🔹🔹🔹🔹🔹🔹🔹
100,000,000 ➡ one hundred million
= milioni mia moja
900,000,000 ➡ nine hundred million
= milioni mia tisa
🔹🔹🔹🔹🔹🔹🔹🔹
1,000,000,000 ➡ one billion
= bilioni moja
9,000,000,000 ➡ nine billion
= bilioni tisa
🔹🔹🔹🔹🔹🔹🔹🔹
➖➖➖➖➖➖➖➖➖
👥Facebook /Instagram /YouTube @Azari Eliakim
Comments