SOMO LA 28
SOMO LA 28: VIWAKILISHI
VYA MBELE YA KITENZI
âž–âž–âž–âž–âž–âž–âž–âž–âž–âž–
👉me (I)
Mimi
👉You (you)
Wewe
👉Him (he)
Yeye __ wa kiume
👉her (she)
Yeye __ wa kike
👉It (it)
Yeye __ mnyama, kitu ambacho si binadamu
👉us (we)
Sisi
👉You (you)
Ninyi/nyinyi
👉Them (they)
Wao __ Watu, wanyama na vitu vyote amabavyo si binadamu
↩↩↩↩↩↪↪↪↪↪↪
âž–âž–âž–âž–âž–
👉you can help me
Unaweza kunisaidia
👉I can help you
Ninaweza kukusaidia
👉she can help him
Anaweza kumsaidia
👉he can help her
Anaweza kumsaidia
👉We can do it
Tunaweza kulifanya
👉they can help us
Wanaweza kutusaidia
👉they can heal you
Wanaweza kuwaponya
👉we can help them
Tunaweza kuwasaidia
âž–âž–âž–âž–âž–âž–âž–
👥Facebook /Instagram /YouTube @Azari Eliakim
Comments