SOMO LA 98


SOMO LA 98: MATUMIZI YA "that's what"
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
That's what = that is what
⚪⚪⚪⚪⚪⚪⚪⚪⚪⚪
Examples
(mifano):
1. That's what I mean. There's nothing else
👉 Hicho ndicho ninachomaanisha. Hakuna kitu kingine chochote.

2. Yes, that's what I want from you. Thank you very much
👉 Ndiyo, hicho ndicho ninachokitaka kutoka kwako. Asante sana

3. Don't be afraid of smiling because that's what you should always do
👉  Usiogope kutabasamu kwa sababu hicho ndicho unachotakiwa kufanya mara zote

4. Don't put words in my mouth. That's not what I said please
👉 Usiweke maneno kinywani mwangu. Hicho sicho nilichosema tafadhali

5. Although that's what most people believe, the fact is that it's wrong
👉 Ingawa hicho ndicho watu wengi wanaamini ukweli ni kwamba si sahihi

6. Is that what you were thinking about?
👉 Je, hicho ndicho ulichokuwa unafikiria?

7. Is that what investors want to do for our country?
👉 Hicho ndicho wawekezaji wanataka kufanya kwa ajili ya nchi yetu ?

8. Is that what James said? Stop joking. Are you sure?
👉 Hicho ndicho James alisema? Acha utani. Una uhakika?

9. Is that what brought him here? I didn't know
👉 Hicho ndicho kilichomleta? Sikujua

10. Is that what I have to do to make you happy?
👉 Hicho ndicho ninachotakiwa kufanya kukufanya ufurahi?
➖➖➖➖➖➖➖➖➖
🌐 Facebook/Instagram/YouTube @ Azari Eliakim  

Comments

Popular posts from this blog

SOMO LA 110

SOMO LA 1

SOMO LA 2