SOMO LA 97
SOMO LA 97: MATUMIZI YA "whom"
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
⚪⚪⚪⚪⚪⚪⚪⚪⚪⚪
Examples
(mifano):
1. Whom do you want to live with?
👉 Unataka kuishi na nani?
2. Whom are you talking about? I just want to know
👉 Uko unamuongelea nani? Ninataka kujua tu
3. That's a nice house. By whom was that house built?
👉 Hiyo ni nyumba nzuri. Nyumba hiyo ilijengwa na nani?
4. To whom would you like to go? Do you have a bus fare?
👉 Ungependa kwenda kwa nani? Una nauli ya basi?
5. Whom were you welcoming? It was a party of its own kind
👉 Mlikuwa mko mnamkaribisha nani? Ilikuwa tafrija ya aina yake
6. Whom did you invite? When will he arrive here?
👉 Ulimualika nani? Atawasili hapa lini?
7. There are many preachers nowadays. Whom do you believe?
👉 Kuna wahubiri wengi siku hizi. Unamuamini nani?
8. Calm down. Whom are you looking for?
👉 Tulia. Uko unamtafuta nani?
9. Whom can we send to the chemist? We want to test the quality of this chemical
👉 Tunaweza kumtuma nani kwa mkemia? Tunataka kupima ubora wa kemikali hii
10. Whom have you told about this business? Don't forget to say how profitable it is
👉 Umemwambia nani kuhusu biashara hii? Usisahau kusema jinsi ilivyo na faida
➖➖➖➖➖➖➖➖➖
🌐 Facebook/Instagram/YouTube @ Azari Eliakim
Comments