SOMO LA 93


SOMO LA 93: MATUMIZI YA "why"
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
⚪⚪⚪⚪⚪⚪⚪⚪⚪⚪
Examples
(mifano):
1. Why are you looking at me as if it's your first time to see me?
👉 Kwa nini uko unanitazama kama vile ni mara yako ya kwanza kuniona?

2. Why do you want to do so before you ask for permission?
👉 kwa nini unataka kufanya hivyo kabla haujaomba ruhusa?

3. Why did you sleep during the meeting? Were you sick?
👉 Kwa nini ulilala wakati wa mkutano? Ulikuwa unaumwa?

4. Why is it possible to watch TV for many hours but not possible to pray for many hours?
👉 Kwa nini inawezekana kutazama TV kwa saa nyingi lakini haiwezekani kuomba/kusali kwa saa nyingi?

5. Why is water more important than soda and other drinks?
👉 Kwa nini maji ni muhimu kuliko soda na vinywaji vingine?

6. Why is there no difference between these people although they have different backgrounds?
👉 Kwa nini hakuna tofauti kati ya watu hawa ingawa wana historia tofauti?

7. Why have you decided to quit that job? Have you got another high paying job?
👉 Kwa nini umeamua kuiacha ile ajira? Umepata ajira nyingine yenye malipo ya juu?

8. Why can't you keep quiet and listen to me until I wind up my speech?
👉 Kwa nini hauwezi kukaa kimya na kunisikiliza mpaka nihitimishe hotuba yangu?

9. Why are those killings still going on?
👉 Kwa nini hayo mauaji bado yanaendelea?

10. Why don't you want to welcome your friends?
👉 Kwa nini hautaki kuwakaribisha rafiki zako?
➖➖➖➖➖➖➖➖➖
🌐 Facebook/Instagram/YouTube @ Azari Eliakim 

Comments

Popular posts from this blog

SOMO LA 1

SOMO LA 110