SOMO LA 92
SOMO LA 92: MATUMIZI YA "which"
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
⚪⚪⚪⚪⚪⚪⚪⚪⚪⚪
Examples
(mifano):
1. Don't panic. Which boy are you looking for?
👉 Usihofu. Uko unamtafuta mvulana gani?
2. There are many cars here, which car would you like to buy?
👉 Kuna magari mengi hapa, ni gari lipi ungependa kununua?
3. Which kind of food would you like to eat today?
👉 Ni aina gani ya chakula ungependa kula leo?
4. Which TV channel are you watching? Are you aware of any movie or news channels?
👉 Ni kituo kipi cha TV uko unatazama? Unajua vituo vyovyote vya filamu au habari?
5. I have information about her sickness. To which hospital is she admitted?
👉 Ninataarifa kuhusu kuugua kwake. Amelazwa kwenye hospitali ipi?
6. Which country is the richest in the world? If you give the right answer I will prepare a gift for you
👉 Ni nchi ipi ni tajiri zaidi duniani? Kama unatoa jibu sahihi nitaanda zawadi kwa ajili yako.
7. Which disease are you suffering from? I see you at this hospital regularly
👉 Ni ugonjwa upi unakusumbua? Huwa ninakuona kwenye hospitali hili mara kwa mara
8. Yes, I know that you are reading a book but, which book are you reading?
👉 Ndiyo, ninajua kwamba uko unasoma kitabu lakini, ni kitabu kipi uko unasoma?
9. Which is which? Don't try to confuse these guiltless people
👉 Kipi ni kipi? Usijaribu kuwachanganya hawa watu wasio na hatia
10. Which worker will you go with?
👉 Ni mfanyakazi yupi utakwenda pamoja naye?
➖➖➖➖➖➖➖➖➖
🌐 Facebook/Instagram/YouTube @ Azari Eliakim
Comments