SOMO LA 91


SOMO LA 91: MATUMIZI YA "how"
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
⚪⚪⚪⚪⚪⚪⚪⚪⚪⚪
Examples
(mifano):
1. How  are you? How is your family?
👉 Hujambo? Familia yako haijambo?

2. How have you cooked this food? It is very delicious
👉 Umepikaje chakula hiki? Ni kitamu sana.

3. How can I help you? Do you have a bank account?
👉 Ninaweza kukusaidiaje? Una akaunti ya benki?

4. How will this be possible? I need your explanations please
👉 Hili litawezekanaje? Ninahitaji maelezo yako tafadhali

5. How did you get my phone number? If you don't tell me I will block your number and report you to the police
👉 Ulipataje namba yangu ya simu? Kama hauniambii nitaizuia namba yako na kukuripoti pilisi

6. Don't you give up? How many times would you like to repeat this exercise?
👉 Haukati tamaa? Ni Mara ngapi ungependa kurudia zoezi hili?

7. I am sorry. I am a stranger. How far is the ocean from the city centre?
👉 Samahani. Mimi ni mgeni. Bahari iko umbali gani kutoka katikati ya jiji?

8. How much money do you want to spend on this car?
👉 Ni pesa kiasi gani unataka kutumia kwenye gari hili?

9. How long does it take to learn a new language?
👉 Inachukua muda gani kujifunza lugha mpya?

10. How have you escaped? I was afraid that you have been kidnapped
👉 Umetorokaje? Nilikuwa na hofu kwamba umetekwa nyara
➖➖➖➖➖➖➖➖➖
🌐 Facebook/Instagram/YouTube @ Azari Eliakim 

Comments

Popular posts from this blog

SOMO LA 110

SOMO LA 1

SOMO LA 2