SOMO LA 89


SOMO LA 89: MATUMIZI YA "What"
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
What's = What is
⚪⚪⚪⚪⚪⚪⚪⚪⚪⚪
Examples
(mifano):
1. What's your name? What do you want to buy?
👉 Unaitwa nani? Unataka kununua nini?

2. What do you want to do today?
👉 Unataka kufanya nini leo?

3. Tell me. What did you want to do yesterday?
👉 Niambie, Ulitaka kufanya nini jana?

4. I don't want to see you here again. What are you looking for in this house?
👉 Sitaki kukuona hapa tena. Unatafuta nini katika nyumba hii?

5. I feel like helping you. So, feel free to tell me your needs. What can I do for you?
👉 Ninajisikia kukusaidia. Hivyo, jisikie huru kuniambia mahitaji yako. Ninaweza kufanya nini kwa ajili yako?

6. What will happen if I don't come for the meeting?
👉 Ni nini kitatokea kama siji kwa ajili ya mkutano?

7. I have not heard you well, what have you said?
👉 Sijakusikia vizuri, umesema nini?

8. What do you mean? Frankly speaking, I have not understood anything
👉 Una maana gani? Kusema kweli, sijaelewa kitu chochote

9. What's it? I don't see anything although I have a torch
👉 Ni nini? Mimi sioni kitu chochote ingawa nina tochi

10. What have you been watching on TV since morning?
👉 Umekuwa ukitazama nini kwenye TV tangu asubuhi?
➖➖➖➖➖➖➖➖➖
🌐 Facebook/Instagram/YouTube @ Azari Eliakim

Comments

Popular posts from this blog

SOMO LA 110

SOMO LA 1

SOMO LA 2