Somo la 87


SOMO LA 87: MATUMIZI YA "if"
,"even if", "although" na "if and only if"
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
Examples
(mifano):
1. If you are sick don't work although you don't have money
👉 Kama unaumwa usifanye kazi ingawa hauna pesa

2. Even if you are sick work because you don't have money
👉 Hata kama unaumwa fanya kazi kwa sababu hauna pesa

3. If you want to become a doctor or an engineer take science subjects
👉 Kama unataka kuwa daktari au muhandisi chukua masomo ya sayansi

4. You can become a doctor or an engineer if and only if you take science subjects
👉 Unaweza kuwa daktari au muhandisi kama tu unachukua masomo ya sayansi

5. Let me obey this law although in my heart I hate it
👉 Ngoja nitii hii sheria ingawa katika moyo wangu ninaichukia

6. If you don't want to go just say. We don't understand you
👉 Kama hautaki kwenda sema tu. Hatukuelewi

7. It would not be possible even if you would like to pay more money
👉 Isingewezekana hata kama ungependa kulipa pesa zaidi

8. Humility is very important if you want to live well with people
👉 Unyenyekevu ni wa muhimu sana kama unataka kuishi vizuri na watu

9. You will succeed if you do everything by faith
👉 Utafanikiwa kama unafanya kila kitu kwa imani

10. Don't pretend, be original. No one can defeat you if you are original
👉 Usijifanye(usiigize), kuwa halisi. Hakuna mmoja yeyote wa kukushinda kama wewe ni halisi
➖➖➖➖➖➖➖➖➖
🌐 Facebook/Instagram/YouTube @ Azari Eliakim 

Comments

Popular posts from this blog

SOMO LA 110

SOMO LA 1

SOMO LA 2