SOMO LA 84


SOMO LA 84: MATUMIZI YA "would like"
SEHEMU B: swali
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
Examples
(mifano):
1. Would you like to go with me?
👉 Ungependa kwenda na mimi?

2. If you had money, would you like to start a business?
👉 Kama ungekuwa na pesa, ungependa kuanzisha biashara?

3. There  is no juice, would you like to take soda instead of juice?
👉 Hakuna juisi, je ungependa kunywa soda badala ya juisi?

4. My mother is here, would you like to see her?
👉 Mama yangu yuko hapa, ungependa kumuona?

5. Would you like to make a lot of money this year?
👉 Ungependa kutengeneza pesa nyingi mwaka huu?

6. Would you like to ask me a question?
👉 Ungependa kuniuliza swali?

7. How many questions would you like to ask me?
👉 Ungependa kuniuliza maswali mangapi?

8. You are seriously sick. Would you like to go to the hospital?
👉 Unaumwa kweli kweli (Sana). Ungependa kwenda hospitalini?

9. Stop that habit immediately. Would you like to break my marriage?
👉 Acha hiyo tabia haraka(mara moja). Ungependa kuvunja ndoa yangu?

10. The truth is that you are poor, but let me ask you a question, would you like to steal in order to be rich?
👉 Ukweli ni kwamba wewe ni masikini lakini ngoja nikuulize swali, ungependa kuiba ili uwe tajiri?
➖➖➖➖➖➖➖➖➖
🌐 Facebook/Instagram/YouTube @ Azari Eliakim  

Comments

Popular posts from this blog

SOMO LA 110

SOMO LA 1

SOMO LA 2