SOMO LA 82
SOMO LA 82: MATUMIZI YA "just" na "only"
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
Examples
(mifano):
1. Just go home
👉 Hebu nenda nyumbani
= Nenda nyumbani tu
2. I just want to see you
👉 Ninataka kukuona tu
3. Just give me two minutes
👉 Hebu nipe dakika mbili
4. Just a second
👉 sekunde tu (sekunde moja tu)
5. John just wants to greet you
👉 John anataka kusalimu tu
6. This is the only problem
👉 Hilo ndilo tatizo pekee
7. I want three litres only
👉 Ninataka Lita tatu tu
8. Just tell me the truth only
👉 Hebu niambie ukweli tu
9. I will just visit my friends only
👉 nitawatembelea rafiki zangu tu
10. I need thirty thousand only, I just think that it's enough
👉 Ninahitaji elfu thalathini tu, ninadhani tu kwamba inatosha
➖➖➖➖➖➖➖➖➖
🌐 Facebook/Instagram/YouTube @ Azari Eliakim
Comments