SOMO LA 81


SOMO LA 81: MATUMIZI YA "there is" na "there are"
SEHEMU B: Swali
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
There is = there's
Is there....?
Are there ......?
⚪⚪⚪⚪⚪⚪⚪⚪⚪⚪
Examples
(mifano):
1. How many people are there?
👉 Kuna watu wangapi?

2. How much money is there for this project?
👉 Kuna pesa kiasi gani kwa ajili ya mradi huu?

3. Are there any questions?
👉 Kuna maswali yoyote?

4. Is there any problem?
👉 Kuna tatizo lolote?

5. Are there tomatoes and cucumbers for salad?
👉 Kuna nyanya na matango kwa ajili ya kachumbari?

6. Which kind of juice is there?
👉 Kuna juisi ya aina gani?

7. Is there any difference between a man and a woman?
👉 Kuna tofauti yoyote kati ya mwanamume na mwanamke?

8. Are there employment opportunities in this ministry?
👉 Kuna fursa za ajira katika wizara hii?

9. Is there any campaign  against HIV?
👉 Kuna kampeni yoyote dhidi ya virusi vya UKIMWI?

10. Are there ambassadors of peace in this constituency?
👉 Kuna wajumbe wa amani katika jimbo hili?
➖➖➖➖➖➖➖➖➖
🌐 Facebook/Instagram/YouTube @ Azari Eliakim  

Comments

Popular posts from this blog

SOMO LA 110

SOMO LA 1

SOMO LA 2