SOMO LA 79


SOMO LA 79: MATUMIZI YA "these" na "those"
SEHEMU B: Swali
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
These =:
⚫hivi/hawa/haya/hii/hizi

Those=:
⚫zile/yale/wale/ile/vile
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
Examples
(mifano):
1. Do those men know what they are doing?
👉 Hao wanaume wanajua walitendalo?

2. Are these people active members?
👉 Hawa watu ni wanachama hai?

3. Did these wars take place because of tribalism?
👉 Vita hivi vilitokea kwa sababu ya ukabila?

4. Will these prices fall in the coming days?
👉 Bei hizi zitashuka katika siku zijazo?

5. Have those parents paid their bills?
👉 Hao wazazi wamelipa bili zao?

6. Don't these rumours confuse you?
👉 Hizi habari za uvumi hazikuchanganyi?

7. Will those factories have started producing musical instruments?
👉 Hivyo viwanda vitakuwa vimeanza kuzalisha vifaa vya muziki?

8. Are these flowers natural or artificial?
👉 Haya maua ni ya asili au ya kutengenezwa?

9. Is there any difference between these vegetables and those?
👉 Kuna tofauti yoyote kati ya hizi mboga za majani na hizo?

10. What are these women looking for in my house?
👉 Hawa wanawake wako wanatafuta nini katika nyumba yangu?
➖➖➖➖➖➖➖➖➖
🌐 Facebook/Instagram/YouTube @ Azari Eliakim  

Comments

Popular posts from this blog

SOMO LA 110

SOMO LA 1

SOMO LA 2