SOMO LA 78


SOMO LA 78: MATUMIZI YA "these" na "those"
SEHEMU A:
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
These =:
⚫hivi/hawa/haya/hii/hizi

Those=:
⚫zile/yale/wale/ile/vile
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
Examples
(mifano):
1. These are good people
👉 Hawa ni watu wema

2. Those are my colleagues
👉 Hao/wale ni wafanyakazi wenzangu

3. These are liquid soaps
👉  Hizi ni sabuni za maji

4. Those are common problems
👉 Hayo ni matatizo ya kawaida

5. These are white people
👉 Hawa ni wazungu

6. These workers are waiting for their salaries
👉 Hawa wafanyakazi wako wanasubiri mishahara yao.

7. Don't allow those kids to go out alone
👉 Usiwaruhusu hao watoto kwenda nje peke yao

8. These doors are useless
👉 Milango hii haitumiki

9. If we add these five tents to those ten tents we will have a total of fifteen tents
👉 Kama tukiongeza haya mahema matano kwa hayo mahema kumi tutakuwa na jumla ya mahema kumi na tano

10. Even if we ask these boys and those girls to help us we will not finish this work today
👉 Hata kama tukiwaomba hawa wavulana na hao wasichana watusaidie hatutamaliza kazi hii leo
➖➖➖➖➖➖➖➖➖
🌐 Facebook/Instagram/YouTube @ Azari Eliakim  

Comments

Popular posts from this blog

SOMO LA 110

SOMO LA 1

SOMO LA 2