SOMO LA 77


SOMO LA 77: MATUMIZI YA "this" na "that"
SEHEMU C: swali
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
This =:
⚫hiki/huu/huyu/hili/hii/hapa

That =:
⚫kile/lile/yule/ile/ule/pale
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
Examples
(mifano):
1. Is this your key?
👉 Huu ni ufunguo wako?

2. Is that what you want?
👉 Hicho ndicho unachotaka?

3.  Is this money enough?
👉 Pesa hizi zinatosha?

4. Can that doctor help us?
🏃 Yule daktari anaweza kutusaidia?

5. Will this machine work today?
👉 Mashine hii itafanya kazi leo?

6. Can I take this and that?
👉 Ninaweza kuchukua hiki na kile?

7. Has that boy brought my licence?
👉 Yule mvulana ameleta leseni yangu?

8. Did this happen in your house?
👉 Hili lilitokea kwenye (katika) nyumba yako/yenu?

9. Was that singer singing alone?
👉 Yule mwimbaji alikuwa anaimba peke yake?

10. Does this leader fight for our rights?
👉 Kiongozi huyu anapigania haki zetu?
➖➖➖➖➖➖➖➖➖
🌐 Facebook/Instagram/YouTube @ Azari Eliakim  

Comments

Popular posts from this blog

SOMO LA 110

SOMO LA 1

SOMO LA 2