SOMO LA 76
SOMO LA 76: MATUMIZI YA "this" na "that"
SEHEMU B:
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
This =:
⚫hiki/huu/huyu/hili/hii/hapa
That =:
⚫kile/lile/yule/ile/ule/pale
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
Examples
(mifano):
1. This country is blessed
🐘 Nchi hii imebarikiwa
2. This phone is very expensive 👉 simu hii ni ghali sana
3. This problem can't be solved today
👉 tatizo hili haliwezi kutatuliwa leo
4. This guest doesn't want food
🏃 Mgeni huyu hataki chakula
5. This lesson is fit for youths
👉 Somo hili linawafaa vijana
6. Stop that habit
👉 acha tabia hiyo
7. That insect is very dangerous
👉 Mdudu huyo ni hatari sana
8. That will never happen
👉 hilo halitatokea kamwe
9. I want something like that
👉 ninataka kitu kama hiki
10. That should be the last warning
👉 hilo linatakiwa kuwa onyo la mwisho
➖➖➖➖➖➖➖➖➖
🌐 Facebook/Instagram/YouTube @ Azari Eliakim
Comments