SOMO LA 72


SOMO LA 72: MATUMIZI YA "the"
SEHEMU A:
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
Zingatia:
## "the" Hutumika kwa jina/kitu ambacho ni cha kipekee, kawaida na kinajulikana vizuri katika vitu vya aina yake

Examples of sentences (mifano ya sentensi):
1. I am talking about the girl we saw on TV
👉 niko ninamzungumzia msichana tuliyemwona kwenye TV (luninga)

2. My friend wants the food you prepared for your family yesterday
👉 Rafiki yangu anataka chakula ulichokiandaa kwa ajili ya familia yako jana

3. Don't open the gate at night
👉 Usifungue geti usiku

4. Please, may you shut the door?
👉 Tafadhali, unaweza kufunga mlango?

5. I want the egg which is on the table
👉 Ninataka yai lililoko mezani

6. I am looking for the director of this company
👉 Ninamtafuta mkurugenzi wa kampuni hii
 ➖➖➖➖➖➖➖➖➖
🌐 Facebook/ Instagram / YouTube @ Azari Eliakim 

Comments

Popular posts from this blog

SOMO LA 110

SOMO LA 1

SOMO LA 2