SOMO LA 71


SOMO LA 71: MATUMIZI YA a, an
SEHEMU C:
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
Zingatia:
## "an" au "a" Haitumiki kwa neno linaloanza na sauti a, e, i, o, u katika matamshi ikiwa neno hilo liko katika hali ya wingi

Examples of words (Mifano ya maneno): books, chairs, boys, men, women, children, people, fruits, citizens, etc

Examples of sentences (mifano ya sentensi):
1. I am a citizen of this country
= Mimi ni raia wa nchi hii

2. We are citizens of this country
= sisi ni raia wa nchi hii

3. We are talking about a child
= tunamzungumzia mtoto

4. We are talking about children
= tunawazungumzia watoto

5. Don't play with an umbrella
= usicheza na mwamvuli

6. Don't play with umbrellas
= usicheze na miamvuli
➖➖➖➖➖➖➖➖➖
🌐 Facebook/ Instagram / YouTube @ Azari Eliakim 

Comments

Popular posts from this blog

SOMO LA 110

SOMO LA 1

SOMO LA 2