SOMO LA 66


SOMO LA 66: PAST PERFECT CONTINUOUS TENSE (asking a question)
➖➖➖➖➖➖➖➖
⚫I had been doing business for so many days (do)
⚪nilikuwa nimekuwa nikifanya biashara kwa Siku nyingi sana
👉 Had I been doing business for so many days ?
⚪nilikuwa nimekuwa nikifanya biashara kwa Siku nyingi sana ?

⚫You had been planning to launch your album (plan)
⚪ulikuwa umekuwa ukipanga kuzindua albam yako
👉Had you been planning to launch your album ?
⚪ulikuwa umekuwa ukipanga kuzindua albam yako ?

⚫He had been enjoying life abroad (enjoy)
⚪alikuwa amekuwa akifurahia maisha nje ya nchi
👉Had he been enjoying life abroad ?
⚪alikuwa amekuwa akifurahia maisha nje ya nchi ?

⚫She had been telling the truth all the time
⚪alikuwa amekuwa akisema kweli muda wote
👉Had she  been telling the truth all the time ?
⚪alikuwa amekuwa akisema kweli muda wote ?

⚫It had been raining continuously (rain)
⚪ilikuwa imekuwa ikinyesha bila kukoma
👉Had it been raining continuously ?
⚪ilikuwa imekuwa ikinyesha bila kukoma ?

⚫We had been teaching kids how to write (teach)
⚪tulikuwa tumekuwa tukiwafundisha watoto namna ya kuandika
👉Had we been teaching kids how to write ?
⚪tulikuwa tumekuwa tukiwafundisha watoto namna ya kuandika ?

⚫They had been learning this language on social media (learn)
⚪walikuwa wamekuwa wakijifunza lugha hii kwenye mitandao ya kijamii
👉Had they been learning this language on social media ?
⚪walikuwa wamekuwa wakijifunza lugha hii kwenye mitandao ya kijamii ?
➖➖➖

Comments

Popular posts from this blog

SOMO LA 110

SOMO LA 1

SOMO LA 2