SOMO LA 65
SOMO LA 65: FUTURE PERFECT TENSE (asking a question)
➖➖➖➖➖➖➖➖
⚫I will have taken another step in life
⚪Nitakuwa nimechukua hatua nyingine katika maisha
👉 Will/shall I have taken another step in life ?
⚪Nitakuwa nimechukua hatua nyingine katika maisha ?
⚫You will have calculated the profit and loss
⚪Utakuwa umekokotoa faida na hasara
👉 Will you have calculated the profit and loss ?
⚪Utakuwa umekokotoa faida na hasara ?
⚫He will have increased the size of the room
⚪Atakuwa ameongeza ukubwa wa chumba
👉Will he have increased the size of the room ?
⚪Atakuwa ameongeza ukubwa wa chumba ?
⚫She will have purchased a new blouse
⚪Atakuwa amenunua blauzi mpya
👉Will she have purchased a new blouse ?
⚪Atakuwa amenunua blauzi mpya ?
⚫It will have grown fully
⚪Atakuwa/utakuwa umekua kimamilifu
👉Will it have grown fully ?
⚪Atakuwa/utakuwa umekua kimamilifu ?
⚫We will have encouraged the broken hearted
⚪Tutakuwa tumewatia moyo waliovunjika moyo
👉Will/shall we have encouraged the broken hearted?
⚪Tutakuwa tumewatia moyo waliovunjika moyo ?
⚫They will have discouraged the orphans
⚪Watakuwa wamewavunja moyo yatima
👉Will they have discouraged the orphans ?
⚪Watakuwa wamewavunja moyo yatima ?
➖➖➖➖➖➖➖
👥 Facebook/Instagram/YouTube @Azari Eliakim
Comments