SOMO LA 59
SOMO LA 59
🕛TENSES - Future simple
⚪kuuliza swali (asking a question)
âž–âž–âž–âž–âž–âž–âž–âž–
👉I will start a business
= Nitaanza/nitaanzisha biashara
⚪Will I start a business ?
= Nitaanza/nitaanzisha biashara?
👉You will start a business
= Utaanza/utaanzisha biashara
⚪ Will you start a business ?
= Utaanza/utaanzisha biashara?
👉He will start a business
= Ataanza/ataanzisha biashara
⚪ Will he start a business ?
= Ataanza/ataanzisha biashara?
👉She will start a business
= Ataanza/ataanzisha biashara
⚪ Will she start a business ?
= Ataanza/ataanzisha biashara ?
👉It will stay here
= Atabaki/kitabaki/litabaki hapa
⚪ Will it stay here?
= Atabaki/kitabaki/litabaki hapa?
👉We will start a business
= Tutaanza/tutaanzisha biashara
⚪ Will we start a business ?
= Tutaanza/tutaanzisha biashara ?
👉They will start a business
= Wataanza/wataanzisha biashara
⚪ Will they start a business ?
= Wataanza/wataanzisha biashara ?
âž–âž–âž–âž–âž–âž–âž–
👥 Facebook/Instagram/YouTube @Azari Eliakim
Comments