SOMO LA 58
SOMO LA 58
🕛TENSES - Present simple
⚪kuuliza swali (asking a question)
âž–âž–âž–âž–âž–âž–âž–âž–
👉I want something to eat
= Ninataka kitu (fulani) cha kula
⚪Do I want something to eat ?
= Ninataka kitu (fulani) cha kula ?
👉You want something to eat
= Unataka kitu (fulani) cha kula
⚪Do you want something to eat ?
= Unataka kitu (fulani) cha kula ?
👉He wants something to eat
= Anataka kitu (fulani) cha kula
⚪ Does he want something to eat?
= Anataka kitu (fulani) cha kula?
👉She wants something to eat
= Anataka kitu (fulani) cha kula
⚪ Does she want something to eat?
= Anataka kitu (fulani) cha kula?
👉It wants something to eat
= Anataka kitu (fulani) cha kula
⚪Does it want something to eat?
= Anataka kitu (fulani) cha kula?
👉We want something to eat
= Tunataka kitu (fulani) cha kula
⚪Do we want something to eat ?
= Tunataka kitu (fulani) cha kula?
👉They want something to eat
= Wanataka kitu (fulani) cha kula
⚪Do they want something to eat ?
= Wanataka kitu (fulani) cha kula?
âž–âž–âž–âž–âž–âž–âž–
👥 Facebook/Instagram/YouTube @Azari Eliakim
Comments