SOMO LA 51
SOMO LA 51: PAST SIMPLE TENSE
Formula: pronoun + verb (past form)
➖➖➖➖➖➖➖➖➖
⚫I went home encouraged (go)
⚪Nilikwenda nyumbani nikiwa nimetiwa moyo
⚫You did everything possible (do)
⚪Ulifanya kila liwezekanalo
⚫He sent money through his visa card (send)
⚪Alituma pesa kwa/kupitia kadi yake ya viza
⚫She cried throughout the night (cry)
⚪Alilia usiku kucha
⚫It made a nest on the roof (make)
⚪Alifanya/ alijenga kiota kwenye paa
⚫We sold all things in one day (sell)
⚪Tuliuza vitu vyote kwa siku moja/katika siku moja
⚫They wanted to steal our computers (want)
⚪Walitaka kuiba kompyuta (talakilishi) zetu
➖➖➖➖➖➖➖➖
👥 Facebook/Instagram/YouTube @Azari Eliakim
Comments