SOMO LA 100


SOMO LA 100: MATUMIZI YA "that's where"
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
That's where = that is where
⚪⚪⚪⚪⚪⚪⚪⚪⚪⚪
Examples
(mifano):
1. If you didn't know, that's where I live.
👉 Kama haukujua, hapo ndipo ninapoishi

2. That's where the problem begins. Never argue with an angry person
😡 Hapo ndipo tatizo linapoanzia. Kamwe usibishane na mtu aliyekasirika

3. You will go to Asia and that's where you will spend your holiday with your family
✈ Utakwenda Asia na hapo ndipo utakapoitumia likizo yako na familia yako

4. My friend, that's where all the money is. Don't despise that opportunity
💰 Rafiki yangu, hapo ndipo pesa zote zilipo. Usiidharau fursa hiyo

5. I met Shukuru at his office because that's where he spends most of his time daily
🏢 Nulimkuta Shukuru ofisini kwake kwa sababu hapo ndipo anapoutumia muda wake mwingi kila siku

6. Is that where you want to reach in life? Don't give up.
💪 Je, hapo ndipo unapotaka kufika katika maisha? Usikate tamaa.

7. The meeting was on the fourth floor. Is that where you went?
💺 Mkutano ulikuwa kwenye ghorofa ya nne. Hapo ndipo ulipokwenda?

8. I want to go to AR studio, Is that where I will find the song writer?
🎶 Ninataka kwenda studio ya AR, hapo ndipo nitakapomkuta mwandishi wa nyimbo?

9. Is that where the swimming pool is?
🏊 Hapo ndipo bwawa la kuogelea lilipo?

10. I am on page four, is that where the answer is?
📄 Niko kwenye ukurasa wa nne, hapo ndipo jibu lilipo?
➖➖➖➖➖➖➖➖➖
🌐 Facebook/Instagram/YouTube @ Azari Eliakim  

Comments

Popular posts from this blog

SOMO LA 110

SOMO LA 1

SOMO LA 2