SOMO LA 46
SOMO LA 46: TENSES "nyakati"
🕛PRESENT CONTINUOUS TENSE
➖➖➖➖➖➖➖➖
🕛PRESENT CONTINUOUS TENSE
⚫Wakati uliopo hali inayoendelea
▫formula (kanuni)
▶Pronoun + Verb (be) + verb + ing
▶Matumizi ya "going to"
.................................
👉I am going to do it
⚫ _Ninakwenda kulifanya_
⚪nitalifanya
👉You are going to speak on my behalf
⚫ _Unakwenda kuzungumza kwa niaba yangu_
⚪Utazungumza kwa niaba yangu
👉He is going to do something different
⚫ _Anakwenda kufanya kitu cha tofauti_
⚪Atafanya kitu cha tofauti
👉She is going to get a job
⚫ _Anakwenda kupata ajira/kazi_
⚪Atapata ajira/kazi
👉It is going to be a live event
⚫ _Linakwenda kuwa tukio la moja kwa moja_
⚪Litakuwa tukio la moja kwa moja
👉We are going to leave early
⚫ _Tunakwenda kuondoka mapema_
⚪Tutaondoka mapema
👉They are going to loose the chains
⚫ _Wanakwenda kulegeza minyororo_
⚪Watalegeza minyororo
➖➖➖➖➖➖➖
👥Facebook /Instagram /YouTube @Azari Eliakim
Comments